Exodus 35:12
Sanduku la Agano pamoja na mipiko yake, kifuniko cha kiti cha rehema na pazia linalokizuia;
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The ark, and the staves thereof, with the mercy seat, and the vail of the covering,
In Context
11Maskani pamoja na hema lake na kifuniko chake, vibanio, mihimili, mataruma, nguzo na vitako;
13meza na mipiko yake pamoja na vyombo vyake vyote, mikate ya Wonyesho;
Cross References
Exodus 25:10“Nao watatengeneza Sanduku la mbao za mshita, lenye urefu wa dhiraa mbili na nusu, + 25:10 Dhiraa mbili na nusu ni sawa na sentimita 112.5. upana wa dhiraa moja na nusu, + 25:10 Dhiraa moja na nusu ni sawa na sentimita 67.5. na kimo cha dhiraa moja na nusu.
Exodus 26:7“Tengeneza mapazia kumi na moja ya singa za mbuzi kwa ajili ya kufunika maskani.
Exodus 36:35Wakatengeneza pazia la nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu na kitani safi iliyosokotwa vizuri, naye fundi stadi akatirizi makerubi kwenye hilo pazia.