bible.software › Kutoka › Kutoka 35 › Kutoka 35:28
Kutoka 35:28
Wakaleta pia vikolezi na mafuta ya zeituni kwa ajili ya mwanga, kwa ajili ya mafuta ya upako na kwa ajili ya uvumba wenye harufu nzuri.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And spice, and oil for the light, and for the anointing oil, and for the sweet incense.
In Context
27Viongozi wakaleta vito vya shohamu pamoja na vito vingine vya thamani kwa ajili ya kuweka kwenye kisibau na kwenye kifuko cha kifuani.
29Waisraeli wote waume kwa wake waliokuwa wanapenda wakaleta mbele za Bwana kwa hiari yao wenyewe sadaka kwa ajili ya kazi yote ya Bwana aliyokuwa amewaagiza kuifanya kupitia kwa Mose. 1 Bezaleli Na Oholiabu (Kutoka 31:1-11)
Read all of Kutoka 35
Cross References
Exodus 35:8mafuta ya zeituni kwa ajili ya taa; vikolezi kwa ajili ya mafuta ya upako, pamoja na uvumba wa harufu nzuri;
This Verse In Other Editions
Study Kutoka 35:28