Exodus 35:7
ngozi za kondoo dume zilizopakwa rangi nyekundu, na ngozi za pomboo; + 35:7 Pomboo hapa ina maana ya mnyama mwenye ngozi laini aishiye kwenye milima yenye misitu, au pengine nguva au sili. mbao za mshita;
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And rams’ skins dyed red, and badgers’ skins, and shittim wood,
In Context
6nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, za rangi nyekundu na kitani safi; singa za mbuzi;
Cross References
Exodus 26:14Tengeneza kifuniko cha hema kwa ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na juu yake kifuniko cha ngozi za pomboo. + 26:14 Pomboo hapa ina maana ya mnyama mwenye ngozi laini aishiye kwenye milima yenye misitu, au pengine nguva au sili.