Kutoka 36:19
Kisha wakatengeneza kifuniko cha hema kwa ngozi za kondoo dume zilizotiwa rangi nyekundu, na juu yake kifuniko cha ngozi za pomboo. + 36:19 Pomboo hapa ina maana ya mnyama mwenye ngozi laini aishiye kwenye milima yenye misitu, au pengine nguva au sili.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Wakatengeneza vifungo hamsini vya shaba ili kukaza hema pamoja kuwa kitu kimoja.
20Wakatengeneza mihimili ya kusimamisha ya mti wa mshita kwa ajili ya maskani.