Exodus 36:21
Kila mhimili ulikuwa na urefu wa dhiraa kumi, + 36:21 Dhiraa 10 ni sawa na mita 4.5. na upana wa dhiraa moja na nusu, + 36:21 Dhiraa moja na nusu ni sawa na sentimita 67.5.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The length of a board was ten cubits, and the breadth of a board one cubit and a half.
In Context
20Wakatengeneza mihimili ya kusimamisha ya mti wa mshita kwa ajili ya maskani.