Kutoka 36:24
na wakatengeneza vitako arobaini vya fedha vya kuweka chini ya hiyo mihimili, vitako viwili kwa kila mhimili, kimoja chini ya kila ulimi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
23Wakatengeneza mihimili ishirini kwa ajili ya upande wa kusini wa maskani,
25Kwa upande wa kaskazini wa maskani wakatengeneza mihimili ishirini
Cross References
Exodus 26:19kisha tengeneza vitako arobaini vya fedha vya kuweka chini ya hiyo mihimili, vitako viwili kwa kila mhimili, kimoja chini ya kila ulimi.