bible.software › Kutoka › Kutoka 36 › Kutoka 36:30
Kutoka 36:30
Kwa hiyo kulikuwa na mihimili minane, na vitako kumi na sita vya fedha, viwili chini ya kila mhimili.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And there were eight boards; and their sockets were sixteen sockets of silver, under every board two sockets.
In Context
29Katika pembe hizi mbili mihimili yake ilikuwa miwili kuanzia chini mpaka juu, na ikaingizwa kwenye pete moja; mihimili ya pembe hizi mbili ilifanana.
31Wakatengeneza pia mataruma kwa mti wa mshita: matano kwa ajili ya mihimili ya upande mmoja wa maskani,
Read all of Kutoka 36
This Verse In Other Editions
Study Kutoka 36:30