bible.software › Kutoka › Kutoka 38 › Kutoka 38:10
Kutoka 38:10
pamoja na nguzo ishirini na vitako vya shaba ishirini, na kulabu na tepe za fedha juu ya hizo nguzo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Their pillars were twenty, and their brasen sockets twenty; the hooks of the pillars and their fillets were of silver.
In Context
9Kisha akatengeneza ua. Upande wa kusini ulikuwa na urefu wa dhiraa mia moja, + 38:9 Dhiraa 100 ni sawa na mita 45. na ulikuwa na mapazia ya kitani iliyosokotwa vizuri,
11Upande wa kaskazini ulikuwa na urefu wa dhiraa mia moja, pamoja na nguzo ishirini na vitako vya shaba ishirini, pamoja na kulabu na tepe za fedha juu ya hizo nguzo.
Read all of Kutoka 38
This Verse In Other Editions
Study Kutoka 38:10