bible.software › Kutoka › Kutoka 38 › Kutoka 38:14
Kutoka 38:14
Mapazia yenye urefu wa dhiraa kumi na tano + 38:14 Dhiraa 15 ni sawa na mita 6.75. yalikuwa upande mmoja wa ingilio, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The hangings of the one side of the gate were fifteen cubits; their pillars three, and their sockets three.
In Context
13Upande wa mwisho wa mashariki jua linakochomoza, pia ulikuwa na upana wa dhiraa hamsini.
15Mapazia yenye urefu wa dhiraa kumi na tano yalikuwa upande mwingine wa ingilio la ua, pamoja na nguzo tatu na vitako vitatu.
Read all of Kutoka 38
This Verse In Other Editions
Study Kutoka 38:14