bible.software › Exodus › Exodus 39 › Exodus 39:9
Exodus 39:9
Kifuko hicho kilikuwa cha mraba, chenye urefu wa shibiri moja + 39:9 Shibiri moja ni sawa na sentimita 22. na upana wa shibiri moja, nacho kilikunjwa mara mbili.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
It was foursquare; they made the breastplate double: a span was the length thereof, and a span the breadth thereof, being doubled.
In Context
8Akafanyiza kifuko cha kifuani, kazi ya fundi stadi. Akakitengeneza kama kile kisibau: cha dhahabu, na nyuzi za rangi ya buluu, za zambarau, na za rangi nyekundu, cha kitani safi iliyosokotwa.
10Kifuko hicho kilipambwa kwa safu nne za vito vya thamani. Safu ya kwanza ilikuwa na akiki, yakuti manjano na zabarajadi;
Read all of Exodus 39
This Verse In Other Editions
Study Exodus 39:9