Kutoka 4:15
Utazungumza naye na kuweka maneno kinywani mwake. Nitawasaidia ninyi wawili kusema, nami nitawafundisha jambo la kufanya.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 4:12Sasa nenda, nitakusaidia kusema, nami nitakufundisha jambo la kusema.”
Exodus 7:1Kisha Bwana akamwambia Mose, “Tazama, nimekufanya kuwa kama Mungu kwa Farao, naye Aroni, huyo ndugu yako, atakuwa nabii wako.
Numbers 23:5Bwana akaweka ujumbe katika kinywa cha Balaamu na kusema, “Rudi kwa Balaki umpe ujumbe huu.”
Numbers 23:16Bwana akakutana na Balaamu, akaweka ujumbe katika kinywa chake akasema, “Rudi kwa Balaki umpe ujumbe huu.”
Deuteronomy 18:18Nitawainulia nabii kama wewe kutoka miongoni mwa ndugu zao; nitaweka maneno yangu kinywani mwake, naye atawaambia kila kitu nitakachomwamuru.
Psalms 25:12Ni nani basi, mtu yule anayemcha Bwana? 2 Atamfundisha katika njia 2 atakayoichagua kwa ajili yake. 1