Kutoka 40:26
Mose akaweka madhabahu ya dhahabu ndani ya Hema la Kukutania mbele ya pazia
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he put the golden altar in the tent of the congregation before the vail:
In Context
25na kuziweka taa mbele za Bwana, kama Bwana alivyomwagiza.
27na kufukiza uvumba wenye harufu nzuri, kama Bwana alivyomwagiza.
Cross References
Exodus 30:1“Tengeneza madhabahu kwa mbao za mshita kwa ajili ya kufukizia uvumba.
Matthew 23:19Ninyi vipofu! Ni kipi kikuu zaidi: ni sadaka, au ni madhabahu yanayoifanya hiyo sadaka kuwa takatifu?
John 17:1Baada ya Yesu kusema haya, alitazama kuelekea mbinguni akawaombea na kusema: “Baba, saa imewadia. Umtukuze Mwanao, ili Mwanao apate kukutukuza wewe.
Hebrews 10:1Sheria ni kivuli tu cha mambo mema yajayo, wala si uhalisi wa mambo yenyewe. Kwa sababu hii, haiwezekani kamwe kwa njia ya dhabihu zitolewazo mwaka hadi mwaka kuwakamilisha wale wanaokaribia ili kuabudu.