bible.software › Exodus › Exodus 40 › Exodus 40:37
Exodus 40:37
lakini kama wingu halikuinuka, hawakuondoka, mpaka siku lilipoinuka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But if the cloud were not taken up, then they journeyed not till the day that it was taken up.
In Context
36Katika safari yote ya Waisraeli, kila wakati wingu lilipoinuka kutoka juu ya Maskani ya Mungu, wangeondoka;
38Kwa hiyo wingu la Bwana lilikuwa juu ya maskani mchana, na moto ulikuwa katika hilo wingu wakati wa usiku, machoni pa nyumba yote ya Israeli siku zote za safari zao.
Read all of Exodus 40
Cross References
Psalms 31:15Siku za maisha yangu ziko mikononi mwako, 2 uniokoe mikononi mwa adui zangu 2 na wale wanifuatiao. 1
This Verse In Other Editions
Study Exodus 40:37