Exodus 6:21
Wana wa Ishari walikuwa Kora, Nefegi na Zikri. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the sons of Izhar; Korah, and Nepheg, and Zichri.
In Context
20Amramu akamwoa Yokebedi, shangazi yake, ambaye alimzalia Aroni na Mose. Amramu aliishi miaka 137. 1
22Wana wa Uzieli walikuwa Mishaeli, Elisafani na Sithri. 1
Cross References
Numbers 16:1Kora mwana wa Ishari, mwana wa Kohathi, mwana wa Lawi, pamoja na baadhi ya Wareubeni, yaani Dathani na Abiramu, wana wa Eliabu, na Oni mwana wa Pelethi, wakachukua baadhi ya watu,
Numbers 26:10Ardhi ilifunua kinywa chake na kuwameza pamoja na Kora, ambaye wafuasi wake walikufa wakati moto ulipowateketeza wanaume 250. Nao walikuwa kama alama ya onyo.
1 Chronicles 6:37mwana wa Tahathi, mwana wa Asiri, 2 mwana wa Ebiasafu, mwana wa Kora, 2