Kutoka 7:24
Nao Wamisri wote wakachimba kandokando ya Mto Naili kupata maji ya kunywa, kwa sababu hawakuweza kunywa maji ya mto. 1 Pigo La Pili: Vyura
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
23Badala yake, Farao akageuka, akaenda kwenye jumba lake la kifalme, wala hakulitia hili moyoni.
25Zilipita siku saba baada ya Bwana kuyapiga maji ya Mto Naili.