Exodus 8:24
Naye Bwana akafanya hivyo. Makundi makubwa ya mainzi yalimiminika katika jumba la kifalme la Farao na katika nyumba za maafisa wake, pia nchi yote ya Misri ikaharibiwa na mainzi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
23Nitaweka tofauti kati ya watu wangu na watu wenu. Ishara hii ya ajabu itatokea kesho.’ ”
Cross References
Exodus 8:14Wakayakusanya malundo, nchi nzima ikanuka.
Psalms 78:45Aliwapelekea makundi ya mainzi yakawala, 2 na vyura wakawaharibu. 1