Kutoka 9:23
Mose alipoinyoosha fimbo yake kuelekea angani, Bwana akatuma ngurumo na mvua ya mawe, umeme wa radi ulimulika hadi nchi. Kwa hiyo Bwana akaifanya mvua ya mawe kunyesha juu ya nchi ya Misri,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 20:18Watu walipoona ngurumo na radi, na kusikia mlio wa tarumbeta, na kuuona mlima katika moshi, walitetemeka kwa woga. Wakasimama mbali
1 Samuel 12:17Je, sasa si mavuno ya ngano? Nitamwomba Bwana ili alete ngurumo na mvua. Nanyi mtatambua jambo hili lilivyo baya mlilolifanya mbele za macho ya Bwana mlipoomba mfalme.”
Job 38:22“Je, umeshawahi kuingia katika ghala za theluji, 2 au kuona ghala za mvua ya mawe, 1
Psalms 29:3Sauti ya Bwana iko juu ya maji; 2 Mungu wa utukufu hupiga radi, 2 Bwana hupiga radi juu ya maji makuu. 1
Psalms 78:47Aliharibu mizabibu yao kwa mvua ya mawe 2 na mikuyu yao kwa mvua iliyochangamana na theluji. 1
Psalms 147:17Huvurumisha mvua yake ya mawe kama changarawe. 2 Ni nani awezaye kustahimili ukali wa baridi yake? 1