Kutoka 9:27
Ndipo Farao akawaita Mose na Aroni akawaambia, “Wakati huu nimetenda dhambi. Bwana ni mwenye haki, mimi na watu wangu ni wakosaji.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
26Mahali pekee ambapo mvua ya mawe haikunyesha ni nchi ya Gosheni, ambako Waisraeli waliishi.
Cross References
Numbers 21:7Watu wakamjia Mose na kusema, “Tumetenda dhambi wakati tuliponena dhidi ya Bwana na dhidi yako. Mwombe Bwana ili atuondolee hawa nyoka.” Hivyo Mose akawaombea hao watu.
Joshua 7:20Akani akamjibu Yoshua, “Ni kweli! Nimetenda dhambi dhidi ya Bwana, Mungu wa Israeli. Hili ndilo nililofanya:
1 Samuel 15:30Sauli akajibu, “Nimetenda dhambi. Lakini tafadhali niheshimu mbele ya wazee wa watu wangu na mbele ya Israeli; rudi pamoja nami, ili nipate kumwabudu Bwana Mungu wako.”
2 Samuel 12:13Ndipo Daudi akamjibu Nathani, “Nimefanya dhambi dhidi ya Bwana.” Nathani akamjibu, “ Bwana amekuondolea dhambi yako. Hutakufa.
Psalms 9:16Bwana anajulikana kwa haki yake, 2 waovu wamenaswa katika kazi za mikono yao. 1
Psalms 145:17Bwana ni mwenye haki katika njia zake zote, 2 na mwenye upendo kwa vyote alivyovifanya. 1