Ezekieli 19:13
Sasa umepandwa jangwani 2 katika nchi kame na ya kiu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And now she is planted in the wilderness, in a dry and thirsty ground.
In Context
Cross References
2 Kings 24:12Yehoyakini mfalme wa Yuda, mama yake, wahudumu wake, wakuu na maafisa wake wote wakajisalimisha kwa Nebukadneza. Katika mwaka wa nane wa utawala wa mfalme wa Babeli, akamchukua Yehoyakini kuwa mfungwa.
Psalms 63:1Ee Mungu, wewe ni Mungu wangu, 2 nakutafuta kwa moyo wote; 1 nafsi yangu inakuonea kiu, 2 mwili wangu unakuonea wewe shauku, 1 katika nchi kame na iliyochoka 2 mahali ambapo hapana maji. 1
Jeremiah 52:27Huko Ribla, katika nchi ya Hamathi, mfalme wa Babeli akaamuru wanyongwe. Hivyo Yuda wakaenda utumwani, mbali na nchi yao.
Ezekiel 20:35Nitawaleta katika jangwa la mataifa na huko nitatekeleza hukumu juu yenu uso kwa uso.