Ezekieli 2:4
Watu ambao ninakutuma kwao ni wapotovu na wakaidi. Waambie, ‘Hivi ndivyo anavyosema Bwana Mwenyezi.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 10:16Kwa hiyo tahirini mioyo yenu, na msiwe na shingo ngumu tena.
1 Kings 22:14Lakini Mikaya akasema, “Hakika kama Bwana aishivyo, nitamwambia kile tu Bwana atakachoniambia.”
2 Chronicles 36:13Pia alimwasi Mfalme Nebukadneza, ambaye alikuwa amemwapisha kwa jina la Mungu. Akashupaza shingo na akafanya moyo wake kuwa mgumu wala hakutaka kumgeukia Bwana, Mungu wa Israeli.
Proverbs 21:29Mtu mwovu ana uso wa ushupavu, 2 bali mtu mnyofu huzifikiria njia zake. 1
Jeremiah 3:3Kwa hiyo mvua imezuiliwa, 2 nazo mvua za vuli hazikunyesha. 1 Hata hivyo, una uso usio na haya kama wa kahaba; 2 unakataa kutahayari kwa aibu. 1
Jeremiah 6:15Je, wanaona aibu kwa ajili ya tabia yao 2 inayochukiza mno? 1 Hapana, hawana aibu hata kidogo; 2 hawajui hata kuona haya. 1 Kwa hiyo wataanguka miongoni mwa hao walioanguka, 2 watashushwa chini nitakapowaadhibu,” 4 asema Bwana.