bible.software › Ezekieli › Ezekieli 23 › Ezekieli 23:13
Ezekieli 23:13
Nikaona kuwa yeye pia alijinajisi, wote wawili wakaelekea njia moja.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then I saw that she was defiled, that they took both one way,
In Context
12Yeye naye aliwatamani Waashuru, watawala na majemadari, mashujaa waliovalia sare, wapandao farasi, wanaume vijana wote waliovutia.
14“Lakini yeye akazidisha ukahaba wake. Akaona wanaume waliochorwa ukutani, picha za Wakaldayo + 23:14 Wakaldayo yaani Wababeli . waliovalia nguo nyekundu,
Read all of Ezekieli 23
Cross References
Ezekiel 23:31Umeiendea njia ya dada yako, hivyo nitakitia kikombe chake mkononi mwako.
This Verse In Other Editions
Study Ezekieli 23:13