Ezekieli 24:13
“ ‘Sasa uchafu wako ni uasherati wako. Kwa sababu nilijaribu kukutakasa lakini haikuwezekana kutakaswa kutoka kwenye huo uchafu wako, hutatakasika tena mpaka ghadhabu yangu dhidi yako iwe imepungua.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Imezuia juhudi zote, 2 ukoko wake mwingi haujaondoka, 2 hata ikiwa ni kwa moto.
Cross References
Leviticus 14:43“Ikiwa upele huo utatokea tena ndani ya ile nyumba baada ya mawe kuondolewa na nyumba kukwanguliwa na kuwekwa lipu mpya,
Isaiah 5:4Ni nini zaidi ambacho kingeweza kufanyika kwa shamba langu la mizabibu 2 kuliko yale niliyofanya? 1 Nilipotazamia kupata zabibu nzuri, 2 kwa nini lilizaa zabibu mbaya tu? 1
Jeremiah 6:28Wote ni waasi sugu, 2 wakienda huku na huko kusengenya. 1 Wao ni shaba na chuma, 2 wote wanatenda upotovu. 1
Jeremiah 13:27uzinzi wako na kulia kwako kama farasi kulikojaa tamaa, 2 ukahaba wako usio na aibu! 1 Nimeyaona matendo yako ya machukizo 2 juu ya vilima na mashambani. 1 Ole wako, ee Yerusalemu! 2 Utaendelea kuwa najisi mpaka lini?”
Jeremiah 31:18“Hakika nimeyasikia maombolezo ya Efraimu: 2 ‘Ulinirudi kama ndama mkaidi, 2 nami nimekubali kutii. 1 Unirudishe, nami nitarudi, 2 kwa sababu wewe ndiwe Bwana, Mungu wangu. 1
Ezekiel 5:12Theluthi ya watu wako watakufa kwa tauni au kwa njaa humu ndani yako, theluthi nyingine itaanguka kwa upanga nje ya kuta zako, nayo theluthi nyingine nitaitawanya kwenye pande nne kuwafuatia kwa upanga uliofutwa.