Ezekiel 24:21
‘Sema na nyumba ya Israeli. Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Ninakaribia kupatia unajisi mahali pangu patakatifu, ngome ambayo ndani yake mnaona fahari, furaha ya macho yenu, kitu mnachokipenda. Wana wenu na binti zenu mliowaacha nyuma wataanguka kwa upanga.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Kwa hiyo nikawaambia, “Neno la Bwana lilinijia kusema:
Cross References
1 Kings 9:7basi nitakatilia mbali Israeli kutoka nchi niliyowapa, nami nitalikataa Hekalu hili nililolitakasa kwa ajili ya Jina langu. Ndipo Israeli itakuwa kitu cha kudharauliwa na watu na kuwa kitu cha kudhihakiwa miongoni mwa watu wote.
Psalms 74:7Waliteketeza kabisa mahali pako patakatifu, 2 wakayanajisi makao ya Jina lako. 1
Psalms 84:1Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 makao yako yapendeza kama nini! 1
Psalms 96:6Fahari na enzi viko mbele yake; 2 nguvu na utukufu vimo patakatifu pake. 1
Psalms 132:8inuka, Ee Bwana, uje mahali pako pa kupumzikia, 2 wewe na Sanduku la nguvu zako. 1
Jeremiah 6:11Lakini nimejaa ghadhabu ya Bwana, 2 nami siwezi kuizuia. 1 “Wamwagie watoto walioko barabarani, 2 na juu ya vijana waume waliokusanyika; 1 mume na mke watakumbwa pamoja ndani yake, 2 hata nao wazee waliolemewa na miaka. 1