bible.software › Ezekieli › Ezekieli 3 › Ezekieli 3:2
Ezekieli 3:2
Ndipo nikafungua kinywa changu, naye akanilisha ule ukurasa wa kitabu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So I opened my mouth, and he caused me to eat that roll.
In Context
1Naye akaniambia, “Mwanadamu, kula kile kilichoko mbele yako, kula huu ukurasa wa kitabu, kisha uende ukaseme na nyumba ya Israeli.”
3Ndipo akaniambia, “Mwanadamu, kula ukurasa huu wa kitabu ninaokupa ujaze tumbo lako.” Kwa hiyo nikaula, ulikuwa mtamu kama asali kinywani mwangu.
Read all of Ezekieli 3
Cross References
Ezekiel 11:4Kwa hiyo toa unabii dhidi yao, tabiri, Ewe mwanadamu.”
This Verse In Other Editions
Study Ezekieli 3:2