Ezekieli 32:13
Nitaangamiza mifugo yake yote 2 wanaojilisha kando ya maji mengi, 1 hayatavurugwa tena kwa mguu wa mwanadamu 2 wala kwato za mnyama 2 hazitayachafua tena. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Ezekiel 29:8“ ‘Kwa hiyo hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Nitaleta upanga juu yako na kuua watu wako na wanyama wao.
Ezekiel 30:12Nitakausha vijito vya Naili 2 na nitaiuza nchi kwa watu waovu, 1 kwa mkono wa wageni, 2 nitaifanya nchi ukiwa na kila kitu 2 kilichomo ndani yake. Mimi Bwana nimenena haya.
Ezekiel 34:18Je, haiwatoshi ninyi kujilisha kwenye malisho mazuri? Je, ni lazima ninyi kuyakanyaga pia malisho yenu yaliyobaki kwa miguu yenu? Je, haiwatoshi ninyi kunywa maji safi? Je, ni lazima kuyachafua maji mengine kwa miguu yenu?