bible.software › Ezekieli › Ezekieli 36 › Ezekieli 36:13
Ezekieli 36:13
“ ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Kwa sababu watu wanakuambia, “Unawala watu na kuliondolea taifa lako watoto wake,”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thus saith the Lord GOD; Because they say unto you, Thou land devourest up men, and hast bereaved thy nations;
In Context
12Nitawafanya watu, watu wangu Israeli, kutembea juu yenu. Watawamiliki ninyi, nanyi mtakuwa urithi wao, kamwe hamtawaondolea tena watoto wao.
14kwa hiyo hutakula tena watu wala kulifanya tena taifa lako lisiwe na watoto, asema Bwana Mwenyezi.
Read all of Ezekieli 36
This Verse In Other Editions
Study Ezekieli 36:13