The Bible Software
bible.software › Ezekieli › Ezekieli 37 › Ezekieli 37:13

Ezekieli 37:13

Ndipo ninyi watu wangu, mtakapojua kuwa Mimi ndimi Bwana, nitakapoyafunua makaburi yenu na kuwatoa humo.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And ye shall know that I am the LORD, when I have opened your graves, O my people, and brought you up out of your graves,

In Context

12Hivyo watabirie na uwaambie: ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Enyi watu wangu, nitayafunua makaburi yenu na kuwatoa ndani yake, nami nitawarudisha tena katika nchi ya Israeli.

14Nitatia Roho yangu ndani yenu nanyi mtaishi, nami nitawakalisha katika nchi yenu wenyewe. Ndipo mtakapojua kwamba Mimi Bwana nimenena, nami nitalitenda, asema Bwana!’ ” 1 Taifa Moja Chini Ya Mfalme Mmoja

Read all of Ezekieli 37

Cross References

Psalms 126:2Vinywa vyetu vilijaa kicheko, 2 ndimi zetu zilijaa nyimbo za shangwe. 1 Ndipo iliposemwa miongoni mwa mataifa, 2 “ Bwana amewatendea mambo makuu.” 1

Ezekiel 37:6Nitawawekea mishipa, nami nitaifanya nyama ije juu yenu na kuwafunika kwa ngozi. Nitatia pumzi ndani yenu, nanyi mtakuwa hai. Ndipo mtakapojua kuwa Mimi ndimi Bwana.’ ”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ezekieli 37:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ezekieli 37:12Ezekieli 37Ezekieli 37:14 →