The Bible Software
bible.software › Ezekieli › Ezekieli 40 › Ezekieli 40:13

Ezekieli 40:13

Kisha akapima njia ya lango kuanzia juu ya ukuta wa nyuma wa chumba kimoja cha kupumzikia hadi juu ya ukuta wa nyuma wa chumba upande wa pili; kukawa na nafasi ya dhiraa ishirini na tano kuanzia lango la ukuta mmoja hadi lango la ukuta uliokuwa upande mwingine.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He measured then the gate from the roof of one little chamber to the roof of another: the breadth was five and twenty cubits, door against door.

In Context

12Mbele ya kila chumba cha kupumzikia kulikuwepo ukuta uliokuwa na kimo cha dhiraa moja + 40:12 Dhiraa 1 ni sawa na sentimita 45. kwenda juu, navyo hivyo vyumba vilikuwa dhiraa sita mraba.

14Akapima pia ukumbi, urefu wa dhiraa ishirini + 40:14 Dhiraa 20 ni sawa na mita 9. na lango linalofuatia hiyo nguzo kila upande wa huo ukumbi.

Read all of Ezekieli 40

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ezekieli 40:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ezekieli 40:12Ezekieli 40Ezekieli 40:14 →