Ezekieli 44:13
Hawaruhusiwi kukaribia ili kunitumikia kama makuhani wala kukaribia chochote changu kilicho kitakatifu au sadaka iliyo takatifu kupita zote, bali watachukua aibu ya matendo yao ya kuchukiza.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Lakini nitawaweka katika uangalizi wa Hekalu na kazi zote zile zinazotakiwa kufanyika ndani yake.
Cross References
Numbers 18:3Watawajibika kwenu na watafanya kazi zote za Hema, lakini kamwe wasisogelee vifaa vya patakatifu au madhabahu, la sivyo wao na ninyi mtakufa.
Jeremiah 3:25Sisi na tulale chini katika aibu yetu, 2 na fedheha yetu itufunike. 1 Tumetenda dhambi dhidi ya Bwana Mungu wetu, 2 sisi na mababa zetu; 1 tangu ujana wetu hadi leo 2 hatukumtii Bwana Mungu wetu.”
Ezekiel 32:20Wataanguka miongoni mwa wale waliouawa kwa upanga. Upanga umefutwa, mwache aburutwe mbali pamoja na hao wajeuri wake wote.