bible.software › Ezekieli › Ezekieli 45 › Ezekieli 45:13
Ezekieli 45:13
“ ‘Hili ndilo toleo maalum mtakalotoa: moja ya sita ya efa kutoka kila homeri ya ngano na moja ya sita ya efa kutoka kila homeri ya shayiri.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
This is the oblation that ye shall offer; the sixth part of an ephah of an homer of wheat, and ye shall give the sixth part of an ephah of an homer of barley:
In Context
12Shekeli moja itakuwa gera ishirini. + 45:12 Gera 20 ni sawa na shekeli 1. Shekeli ishirini, jumlisha na shekeli ishirini na tano, jumlisha na shekeli kumi na tano zitakuwa mina moja. + 45:12 Mina 1 hapa ni sawa na shekeli 60; mina ya kawaida ilikuwa sawa na shekeli 50. 1 Sadaka Na Siku Takatifu (Kutoka 12:1-20; Walawi 23:33-43)
14Sehemu ya mafuta iliyoamriwa, yaliyopimwa kwa bathi, ni sehemu ya kumi ya bathi kutoka kila kori moja + 45:14 Kori 1 ni sawa na bathi 10 au homeri 1. (ambayo ina bathi kumi au homeri moja.)
Read all of Ezekieli 45
This Verse In Other Editions
Study Ezekieli 45:13