bible.software › Ezekieli › Ezekieli 45 › Ezekieli 45:2
Ezekieli 45:2
Katika hiyo, itakuwepo sehemu mraba ambayo ni mahali patakatifu kila upande dhiraa 500 ikiwa imezungukwa na eneo la wazi lenye upana wa dhiraa hamsini.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Of this there shall be for the sanctuary five hundred in length, with five hundred in breadth, square round about; and fifty cubits round about for the suburbs thereof.
In Context
1“ ‘Mtakapogawa nchi kuwa urithi, mtaitoa sehemu ya nchi kwa Bwana kuwa eneo takatifu, urefu wake dhiraa 25,000, + 45:1 Dhiraa 25,000 ni sawa na kilomita 11.25. upana wake dhiraa 20,000 + 45:1 Dhiraa 20,000 ni sawa na kilomita 9. eneo hili lote litakuwa takatifu.
3Katika eneo takatifu, pima sehemu yenye urefu wa dhiraa 25,000 na upana wa dhiraa 10,000. + 45:3 Dhiraa 10,000 ni sawa na kilomita 4.5. Ndani ya hilo eneo kutakuwa mahali patakatifu, Patakatifu pa Patakatifu.
Read all of Ezekieli 45
Cross References
Ezekiel 27:28Nchi za pwani zitatetemeka 2 wakati mabaharia wako watakapopiga kelele. 1
Ezekiel 42:16Akapima upande wa mashariki kwa ule ufito wa kupimia, nao ulikuwa dhiraa 500 + 42:16 Dhiraa 500 ni sawa na mita 225.
Ezekiel 43:21Itakupasa kumchukua huyo fahali mchanga kwa ajili ya sadaka ya dhambi na kumteketeza mahali palipoagizwa katika eneo la Hekalu nje ya mahali Patakatifu.
This Verse In Other Editions
Study Ezekieli 45:2