Ezekiel 7:21
Nitavitia vyote mikononi mwa wageni kuwa nyara na kuwa vitu vilivyotekwa mikononi mwa watu waovu wa dunia, nao watavinajisi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 25:9Alichoma moto Hekalu la Bwana, jumba la kifalme, na nyumba zote za Yerusalemu. Aliteketeza kila jengo muhimu.
2 Chronicles 36:18Akavichukua kwenda Babeli vyombo vyote kutoka Hekalu la Mungu, vikubwa na vidogo, hazina za Hekalu la Bwana pamoja na hazina za mfalme na za maafisa wake.
Psalms 79:1Ee Mungu, mataifa yameuvamia urithi wako, 2 wamelinajisi Hekalu lako takatifu, 2 wameifanya Yerusalemu kuwa magofu. 1