Ezra 10:23
Miongoni mwa Walawi: 2 Yozabadi, Shimei, Kelaya (ndiye Kelita), Pethahia, Yuda na Eliezeri. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22Kutoka wazao wa Pashuri: 2 Elioenai, Maaseya, Ishmaeli, Nethaneli, Yozabadi na Elasa. 1
24Kutoka waimbaji: 2 Eliashibu. 1 Kutoka mabawabu: 2 Shalumu, Telemu na Uri. 1
Cross References
Nehemiah 8:7Watu wakiwa wamesimama pale, Walawi wafuatao waliwafunza ile Sheria: Yeshua, Bani, Sherebia, Yamini, Akubu, Shabethai, Hodia, Maaseya, Kelita, Azaria, Yozabadi, Hanani na Pelaya.
Nehemiah 11:16Shabethai na Yozabadi, viongozi wawili wa Walawi, ambao walisimamia kazi za nje za nyumba ya Mungu;