Ezra 2:59
Wafuatao walikuja kutoka miji ya Tel-Mela, Tel-Harsha, Kerubu, Adoni na Imeri, lakini hawakuweza kuthibitisha kwamba jamaa zao zilikuwa uzao wa Israeli: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
58Watumishi wa Hekalu wote na // wazao wa watumishi // wa Solomoni 2 392 4
60wazao wa // Delaya, Tobia na Nekoda 2 652 4
Cross References
2 Chronicles 31:17Kuandikishwa kwa makuhani kulikuwa kwa kufuata chimbuko la nyumba za baba zao na Walawi kuanzia umri wa miaka ishirini au zaidi ilikuwa kufuatana na huduma zao, kwa migawanyo yao.