Ezra 3:12
Lakini wengi wa makuhani wazee, Walawi na viongozi wa jamaa waliokuwa wameona Hekalu la mwanzoni, walilia kwa sauti walipoona msingi wa Hekalu hili ukiwekwa, huku wengine wengi wakipiga kelele kwa furaha.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 126:6Yeye azichukuaye mbegu zake 2 kwenda kupanda, huku akilia, 1 atarudi kwa nyimbo za shangwe, 2 akichukua miganda ya mavuno yake.
Isaiah 41:14Usiogope, ee Yakobo uliye mdudu, 2 ee Israeli uliye mdogo, 1 kwa kuwa Mimi mwenyewe nitakusaidia,” asema Bwana, 2 Mkombozi wako, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1
Jeremiah 31:8Tazama, nitawaleta kutoka nchi ya kaskazini 2 na kuwakusanya kutoka miisho ya dunia. 1 Miongoni mwao watakuwepo vipofu na viwete, 2 mama wajawazito na wenye utungu wa kuzaa. 2 Umati mkubwa wa watu utarudi. 1
Haggai 2:3‘Ni nani miongoni mwenu aliyebaki ambaye aliiona hii nyumba katika utukufu wake wa mwanzo? Sasa inaonekanaje kwenu? Je, haionekani kwenu kama si kitu?
Matthew 13:31Akawaambia mfano mwingine, akasema, “Ufalme wa Mbinguni ni kama punje ya haradali, ambayo mtu aliichukua, akaipanda shambani mwake.