bible.software › Ezra › Ezra 4 › Ezra 4:21
Ezra 4:21
Kwa hiyo toeni amri kwa watu hawa wasimamishe ujenzi, ili kwamba mji huu usiendelee kujengwa hadi nitakapoagiza.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Give ye now commandment to cause these men to cease, and that this city be not builded, until another commandment shall be given from me.
In Context
20Yerusalemu umepata kuwa na wafalme wenye nguvu wakitawala nchi yote iliyo Ngʼambo ya Mto Frati, wakitoza kodi, ada na ushuru huko.
22Mwe waangalifu msipuuze jambo hili. Kwa nini kuruhusu tishio hili kuendelea na kusababisha hasara kwa ufalme?
Read all of Ezra 4
This Verse In Other Editions
Study Ezra 4:21