Ezra 4:23
Mara waliposomewa nakala ya barua ya Mfalme Artashasta, Rehumu na Shimshai aliyekuwa mwandishi na wenzao, walikwenda mara moja kwa Wayahudi huko Yerusalemu na kuwalazimisha kwa nguvu kusimamisha ujenzi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Ezra 4:17Mfalme alirudisha jibu hili: Kwa Rehumu, afisa msimamizi, mwandishi Shimshai na wenzenu wote wanaoishi katika Samaria na penginepo Ngʼambo ya Mto Frati: Salamu.
Micah 2:1Ole kwa wale wapangao uovu, 2 kwa wale wafanyao shauri la hila vitandani mwao! 1 Kunapopambazuka wanalitimiza 2 kwa sababu uko katika uwezo wao kutekeleza. 1