bible.software › Ezra › Ezra 6 › Ezra 6:2
Ezra 6:2
Karatasi moja ndefu ya maandishi ilipatikana huko Ekbatana katika jimbo la Umedi. Haya ndiyo yaliyokuwa yameandikwa humo: Kumbukumbu:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And there was found at Achmetha, in the palace that is in the province of the Medes, a roll, and therein was a record thus written:
In Context
1Kisha Mfalme Dario alitoa amri, nao wakafanya uchunguzi katika kumbukumbu zilizohifadhiwa katika hazina huko Babeli.
3Katika mwaka wa kwanza wa kutawala Mfalme Koreshi, mfalme alitoa amri kuhusu Hekalu la Mungu katika Yerusalemu: Hekalu na lijengwe tena mahali palepale Wayahudi walipokuwa wakitoa dhabihu, kwenye msingi ule ule. Iwe na kimo cha mikono sitini, + 6:3 Mikono 60 ni sawa na mita 27. upana wa mikono sitini,
Read all of Ezra 6
This Verse In Other Editions
Study Ezra 6:2