Ezra 7:10
Kwa maana Ezra alikuwa amejitoa kwa moyo wote kujifunza na kushika sheria ya Bwana na kuwafundisha watu wa Israeli amri na sheria zake. 1 Barua Ya Ezra Kutoka Kwa Mfalme Artashasta
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 33:10Humfundisha Yakobo mausia yako 2 na Israeli sheria yako. 1 Hufukiza uvumba mbele zako 2 na sadaka nzima za kuteketezwa 2 juu ya madhabahu yako. 1
1 Chronicles 29:18Ee Bwana, Mungu wa baba zetu Abrahamu, Isaki na Israeli, weka shauku hii ndani ya mioyo ya watu wako daima na uifanye mioyo yao iwe na uaminifu kwako.
2 Chronicles 17:8Pamoja nao walikuwepo Walawi fulani nao ni: Shemaya, Nethania, Zebadia, Asaheli, Shemiramothi, Yehonathani, Adoniya, Tobia, Tob-Adonia, pamoja nao walikuwepo makuhani Elishama na Yehoramu.
2 Chronicles 30:22Hezekia akazungumza akiwatia moyo Walawi wote, ambao walionyesha ustadi katika kumtumikia Bwana. Hivyo watu wakala chakula cha sikukuu kwa siku saba, wakitoa sadaka za amani na kumshukuru Bwana, Mungu wa baba zao.
Ezra 7:25Nawe Ezra, kufuatana na hekima ya Mungu wenu uliyo nayo, weka mahakimu na waamuzi wote wanaozifahamu sheria za Mungu wenu ili watoe haki kwa watu wote wa Ngʼambo ya Mto Frati. Nawe inakupasa umfundishe yeyote ambaye hazifahamu.
Job 11:13“Hata sasa ukiutoa moyo wako kwake 2 na kumwinulia mikono yako, 1