Ezra 8:10
wa wazao wa Bani, alikuwa Shelomithi mwana wa Yosifia na wanaume 160 pamoja naye; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And of the sons of Shelomith; the son of Josiphiah, and with him an hundred and threescore males.
In Context
9wa wazao wa Yoabu, alikuwa Obadia mwana wa Yehieli na wanaume 218 pamoja naye; 1
11wa wazao wa Bebai, alikuwa Zekaria mwana wa Bebai na wanaume 28 pamoja naye; 1