Ezra 8:13
wa wazao wa Adonikamu, hawa walikuwa wa mwisho ambao majina yao ni Elifeleti, Yeueli, Shemaya na wanaume 60 pamoja nao; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12wa wazao wa Azgadi, alikuwa Yohanani mwana wa Hakatani na wanaume 110 pamoja naye; 1
14wa wazao wa Bigwai, walikuwa Uthai na Zakuri na wanaume 70 pamoja nao. 1 Kurudi Yerusalemu
Cross References
Nehemiah 7:18wazao wa Adonikamu 2 667 1