bible.software › Ezra › Ezra 8 › Ezra 8:24
Ezra 8:24
Kisha niliwatenga viongozi wa makuhani kumi na wawili, pamoja na Sherebia, Hashabia na ndugu zao kumi,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then I separated twelve of the chief of the priests, Sherebiah, Hashabiah, and ten of their brethren with them,
In Context
23Kwa hiyo tulifunga na kumwomba Mungu wetu kuhusu jambo hili, naye akajibu maombi yetu.
25nami nikawapimia fedha, dhahabu na vifaa ambavyo mfalme, washauri wake, maafisa wake na Israeli wote waliokuwepo walikuwa wamevitoa sadaka kwa ajili ya nyumba ya Mungu wetu.
Read all of Ezra 8
This Verse In Other Editions
Study Ezra 8:24