The Bible Software
bible.software › Wagalatia › Wagalatia 1 › Wagalatia 1:2

Wagalatia 1:2

na ndugu wote walio pamoja nami: Kwa makanisa ya Galatia:

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And all the brethren which are with me, unto the churches of Galatia:

In Context

1Paulo mtume: si mtume wa wanadamu wala aliyetumwa na mwanadamu, bali na Yesu Kristo na Mungu Baba aliyemfufua Yesu kutoka kwa wafu;

3Neema iwe nanyi na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana wetu Yesu Kristo,

Read all of Wagalatia 1

Cross References

Acts 9:31Ndipo kanisa katika Uyahudi wote, Galilaya na Samaria likafurahia wakati wa amani. Likatiwa nguvu, na kwa faraja ya Roho Mtakatifu, idadi yake ikazidi kuongezeka, na likaendelea kudumu katika kumcha Bwana. 1 Matendo Ya Petro (9:32–12:25) 1 Kuponywa Kwa Ainea

Acts 16:5Hivyo makanisa yakawa imara katika imani na kuongezeka kiidadi kila siku.

1 Corinthians 16:1Basi kuhusu changizo kwa ajili ya watakatifu: Kama nilivyoyaagiza makanisa ya Galatia, fanyeni vivyo hivyo.

Philippians 4:21Msalimuni kila mtakatifu katika Kristo Yesu. Ndugu walioko pamoja nami wanawasalimu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Wagalatia 1:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Wagalatia 1:1Wagalatia 1Wagalatia 1:3 →