Wagalatia 1:20
Haya ninayowaandikieni, Mungu anajua; sisemi uongo.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Now the things which I write unto you, behold, before God, I lie not.
In Context
19Lakini sikuwaona mitume wengine isipokuwa Yakobo, ndugu yake Bwana.
21Baadaye nilikwenda katika tarafa za Siria na Kilikia.
Cross References
2 Corinthians 11:10Naahidi kwa ule ukweli wa Kristo ulio ndani yangu, kwamba hakuna kitakachoweza kunizuia kujivunia jambo hilo popote katika Akaya.