Wagalatia 1:23
Walichokuwa wanajua ni kile tu walichosikia: “Mtu yule aliyekuwa akitutesa hapo awali, sasa anaihubiri imani ileile aliyokuwa anajaribu kuiangamiza.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
22Wakati huo, mimi binafsi sikujulikana kwa jumuiya za Wakristo kule Yudea.
24Basi, wakamtukuza Mungu kwa sababu yangu.
Cross References
Acts 6:7Neno la Mungu likazidi kuenea na idadi ya waumini huko Yerusalemu ikaongezeka zaidi, na kundi kubwa la makuhani wakaipokea imani.
Acts 9:20Mara alianza kuhubiri katika masunagogi kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu.
1 Corinthians 15:8Baada ya wote, akanitokea hata mimi, mimi niliyekuwa kama mtu aliyezaliwa kabla ya wakati.