Wagalatia 2:10
Wakatuomba lakini kitu kimoja: tuwakumbuke maskini; jambo ambalo nimekuwa nikijitahidi kutekeleza.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Only they would that we should remember the poor; the same which I also was forward to do.
In Context
11Lakini Kefa alipofika Antiokia nilimpinga waziwazi maana alikuwa amekosea.
Cross References
Acts 11:29Wale wanafunzi waliamua kila mmoja kwa kadiri ya uwezo wake apeleke chochote ili kuwasaidia wale ndugu waliokuwa wanaishi Yudea.
Romans 15:25Lakini, kwa sasa nakwenda kuwahudumia watu wa Mungu kule Yerusalem.
2 Corinthians 8:1Ndugu, tunapenda kuwapa habari juu ya neema ambazo Mungu ameyajalia makanisa ya Makedonia.
James 2:15Tuseme kaka au dada hana nguo au chakula.