Wagalatia 2:11
Lakini Kefa alipofika Antiokia nilimpinga waziwazi maana alikuwa amekosea.
Biblia Takatifu
In The King James Version
But when Peter was come to Antioch, I withstood him to the face, because he was to be blamed.
In Context
10Wakatuomba lakini kitu kimoja: tuwakumbuke maskini; jambo ambalo nimekuwa nikijitahidi kutekeleza.
Cross References
Matthew 16:17Yesu akasema, “Heri wewe Simoni mwana wa Yona, kwa maana si binadamu aliyekufunulia ukweli huu, ila Baba yangu aliye mbinguni.
Acts 11:19Kutokana na mateso yaliyotokea wakati Stefano alipouawa, waumini walitawanyika. Wengine walikwenda mpaka Foinike, Kupro na Antiokia wakihubiri ule ujumbe kwa Wayahudi tu.
Acts 15:30Baada ya kuwaaga, hao wajumbe walielekea Antiokia ambako waliita mkutano wa waumini, wakawapa hiyo barua.