Wagalatia 2:4
Lakini kwa sababu ya ndugu wa uongo ambao walijiingiza kwa siri katikati yetu ili kupeleleza uhuru wetu tulio nao katika Kristo Yesu, wapate kututia utumwani,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Lakini hata Tito ambaye alikuwa Myunani, hakulazimika kutahiriwa.
5hatukukubaliana nao hata dakika moja, ili kwamba ukweli wa Injili ubaki nanyi.
Cross References
Psalms 119:45Nitatembea nikiwa huru, 2 kwa kuwa nimejifunza mausia yako. 1
Luke 5:38Divai mpya lazima iwekwe kwenye viriba vipya.
Acts 15:1Baadhi ya watu wakashuka Antiokia kutoka Uyahudi, nao wakawa wanawafundisha wandugu: “Msipotahiriwa kufuatana na desturi aliyofundisha Mose, hamwezi kuokoka.”
Acts 20:30Hata kutoka miongoni mwenu watainuka watu na kuupotosha ukweli ili wawavute wanafunzi wawafuate.
2 Corinthians 3:17Basi Bwana ndiye Roho. Mahali alipo Roho wa Bwana hapo pana uhuru.
2 Corinthians 11:17Ninayosema kuhusiana na huku kujisifu kwa kujiamini, sisemi kama vile ambavyo Bwana angesema, bali kama mjinga.