Wagalatia 2:6
Kwa habari ya wale waliokuwa wakubaliwe kuwa viongozi (kwangu mimi sikujali vyeo vyao, maana Mungu hana upendeleo), wale watu hawakuniongezea chochote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5hatukukubaliana nao hata dakika moja, ili kwamba ukweli wa Injili ubaki nanyi.
Cross References
Job 32:6Basi Elihu mwana wa Barakeli wa kabila la Buzi akasema: 1 “Mimi ni mdogo kwa umri, 2 nanyi ni wazee; 1 ndiyo sababu niliogopa, 2 sikuthubutu kuwaambia kile ninachojua. 1
Job 34:19yeye asiyependelea wakuu, 2 wala haonyeshi upendeleo kwa matajiri kuliko maskini, 2 kwa kuwa wote ni kazi ya mikono yake? 1
Mark 6:17Kwa kuwa Herode alikuwa ameagiza kwamba Yohana Mbatizaji akamatwe, afungwe na kutiwa gerezani. Alifanya hivi kwa sababu ya Herodia, mke wa Filipo, ndugu yake, ambaye Herode alikuwa amemwoa.
Luke 20:21Hivyo wale wapelelezi wakamuuliza, “Mwalimu, tunajua unasema na kufundisha yaliyo kweli wala humpendelei mtu, bali wafundisha njia ya Mungu katika kweli.
Acts 15:6Mitume na wazee wakakutana pamoja ili kufikiri jambo hili.
2 Corinthians 5:16Hivyo tangu sasa hatumwangalii mtu yeyote kwa mtazamo wa kibinadamu. Ingawa wakati fulani tulimwangalia Kristo kwa namna ya kibinadamu, hatumwangalii tena hivyo.