The Bible Software
bible.software › Wagalatia › Wagalatia 3 › Wagalatia 3:26

Wagalatia 3:26

Kwa njia ya imani, ninyi nyote mmekuwa watoto wa Mungu katika kuungana na Kristo.

Biblia Takatifu

In The King James Version

For ye are all the children of God by faith in Christ Jesus.

In Context

25Tangu kufika kwa hiyo imani, Sheria si mlezi wetu tena.

27Ninyi nyote mliobatizwa mkaungana na Kristo ni kama vile mmemvaa Kristo.

Read all of Wagalatia 3

Cross References

John 1:12Lakini wale wote waliompokea na kumwamini, hao aliwapa uwezo wa kuwa watoto wa Mungu.

Romans 8:14Wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu ni watoto wa Mungu.

Galatians 4:5apate kuwakomboa wale waliokuwa chini ya Sheria ili sisi tufanywe wana wa Mungu.

Ephesians 5:1Kwa hiyo, mwigeni Mungu, maana ninyi ni watoto wake wapenzi.

Hebrews 2:10Ilikuwa haki tupu kwamba Mungu, ambaye huumba na kutegemeza vitu vyote, alimfanya Yesu kuwa mkamilifu kabisa kwa njia ya mateso, ili awalete watoto wengi waushiriki utukufu wake. Maana Yesu ndiye anayewaongoza kwenye wokovu.

Revelation 21:7Yeyote atakayeshinda atapokea hiki, nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Portuguesa MundialLuther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)新标点和合本성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايكBibbia Diodati (Italiano)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)Polish Biblia Gdanska (1881)

Study Wagalatia 3:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Robertson's Word Pictures
← Wagalatia 3:25Wagalatia 3Wagalatia 3:27 →